Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(220,000X6)KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA MOJA KATI YA IZO IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA (LAKIMBILI NA ISHILINI KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453