Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA NA JIKO LAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 170K X3//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI ELFU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#OPEN KITCHEN KUBWA SANA
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
N:B" HII ITAKUWA WAZI TAREHE 20 /01/2025,, KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA 📌
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.
0713320608
0686334182