Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA
IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA
KODI 300,000 × 6
Location: KIMARA STOP OVER
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: DAKIKA 6-7 KWA KUTEMBEA TU 🚶🚶
KUTOKA MOROGORO ROAD/STAND
>SEBULE KUBWA SANA
>CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
>JIKO KUBWA ZURI
>PUBLIC TOILET NZURI
>LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
>MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
>RESERVE TANKS
>PARKING SPACE AVAILABLE
>FULL SECURITY 24HRS
>GOOD ENVIRONMENT 👍
💫💫RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp