Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
BEI LAKI MOJA THELATHINI
130,000X5,6
IPO KIMARA TEMBONI UMBALI
WA KILOMITA MBILI NA NUSU
USAFILI UPO MWINGI SANA
BAJAJI MIA SABA 700. BODA BUKU MUDA WOTE
SIFA ZA NYUMBA CHUMBA CHOO NA SEBULE INA
TILES JIPSAM DILISHA KIOO
NYUMBA IPO NDANI YA GETI HAILAZI GARI
UMEME SUB MITA MAJI DAWASCO YANATOKA CHOONI MDA WOTE
PIGA SIMU HARAKA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI