Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 230,000 × 6
📍SEBULE KUBWA SANA
📍CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
📍JIKO KUBWA LINAFUNGWA KABATI
📍PUBLIC TOILET
📍LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
NA KILA MTU ANA TANG LA LIZEVU
📍PARKING
📍ULINZI UPO 24HRS
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI MK 1.5 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO
USAFIRI BAJAJI 1000 BODA 1000
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp