Nyumba/Apartment inapangishwa Madukani, Dodoma







APARTMENT NZURI #MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#BEI NI 300,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO #MBEZI_NJIA_YA KUELEKEA MAKABE KUPITIA MADUKANI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343