Viwanja vinauzwa Madukani, Dodoma
Habari Arusha.
Viwanja vipya kiseriani mpakani na NJIRO.
Ukubwa mita 30 Kwa 20 ( 600 SQM ) unaweza KUONGEZA
Bei 9.5m mazungumzo yapo sana.
Eneo lipo umbali wa 2km Toka KISERIANI Madukani Daladala zinafika.
Huduma zimefika, Udongo MZURI, Barabara IMARA na Majirani WAZITO.
Nakukaribisha nikuonyeshe Kwa Taarifa zaidi #0765899772 #0627779772
arusha_ viwanja_nyumba_ mashamba_rahisi
#KARIBU