Nyumba/Apartment inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam
NEW APARTMENT FOR RENT
Loc: makumbusho
Price:500,000 per m
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Chumba master, sebule, open kitchen full tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea maji unajitegemea ipo kwenye finishing
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈