Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
BEI NI 250,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347