Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA
__________________
MAHALI- ILAZO WEST
__________________
MUUNDO
-Vyumba V3 vya kulalaa (01 MASTER)
-sebule
-Store
-jiko zuri
-Public toilet
__________________
HUDUMA
-ELECTRIC FENCE
-HEATER BAFUNI
-Maji yapo muda wote
-Umeme upo unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya fence
-usalama wa kutosha
__________________
MALIPO
~Bei ni 500,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
__________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA
☎️ MAWASILIANO
+255625631258
Gharama za kwenda site ni 10,000