Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(170,000 × 4) MBEZI NYUMA YA STAND YA MKOA MAGUFULI STANDI
APARTMENT KALI SANA MPYAA KABISA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MAGUFULI
ZIPO MBEZI STAND YA MKOA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STAND NI km 1.8 BODABODA 1000 - 1500/=
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NDANI
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA
ZIPO NNE TUU KWENYE FENSI
KODI 170,000/= × 6
KUONA NYUMBA 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
What saapp number 0689-547258