Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZR SANA ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO DARESALAAM TZ ๐น๐ฟ๐ ENEO MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 10 MPK 15 TU
HAPA ZIPO APARTMENT NNE ZIMEBAKIA APARTMENT MBILI TU WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
SIFA ZA NYUMBA
================
VYUMBA V2 VYA KULA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI LA KISASA LINAWWKWA MAKABATI YA CHINI NA JUU
TILLES GPYSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI NNE 400K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670