Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENTS ZINAPANGISHWA ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA - MBEZI KIBANDA CHA MKAA
=====
Sebule
Chumba Master bedroom
Jiko kubwa lenye makabati
Bei:200,000/=Γ6
===
Umbali dakika 15 Kwa miguu Kutoka Morogoro Road
===
Nyumba hizi hazina Fensi kabisa Ila usalama ni kutosha kabisa Asilimia 100%
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
*HII NYUMBA INAFAULISHA NDUGU ZANGU KWAHYO UJE UKIJUA HILO*
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI