Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA UBUNGO MAKOKA KWA MKUA #220K
Chumba cha kulala sebule Choo na jiko
Kodi 220,000 Kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Barabara safi ya zege Usafiri ni mwingi kutokea Ubungo external au Kimara korogwe ukishuka dakika 4 upo nyumbani
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0715949085
0782838336