Nyumba/Apartment inauzwa Kibaha, Pwani
Apartment zinauzwa Kibaha Mwendapole!
Tuna Apartment mbili zilizopo kwenye eneo lenye ukubwa wa sqm 1885, zikiwa umbali wa mita 200 tu kutoka barabara kuu. Eneo hili linatoa fursa mbalimbali - unaweza kuishi, kupangisha, kufuga, au hata kutumia kama yard. Ni nafasi nzuri kwa wale wanaotafuta uwekezaji wa muda mrefu na urahisi wa miundombinu ya karibu.
๐ฐ Bei ya eneo: TZS Milioni 95
๐ต Gharama ya kukagua: TZS 60,000
#Kibaha #RealEstateTanzania #InvestmentOpportunities #ApartmentForSale #FursaZaUwekezaji #Mwendapole#dalalisoso
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kuja kuona mwenyewe!