Nyumba/Apartment inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA CHUMBA MASTER
KUBWA
SEBULE KUBWA SANAA
JIKO KUBWA SANA ZURI
LUKU NA MITA YA MAJI YA DAWASCO INAJITEGEMEA
=====
BEI TSH 250,000/=X6
NYUMBA ZIPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE BARABARA MPYA YA ZEGE
KM 1.3 KUTOKA KITUO CHA MABASI YA MWENDOKASI
USAFIRI UPO BAJAJ NAULI TSH 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UNAINGIA
=====
NDANI YA ELECTRIC SECURITY FENCE PARKING SPACE IPO KUBWA
MAZINGIRA MAZURI USALAMA UPO WAKUTOSHA
=====
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179