Nyumba/Apartment inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam







Chumba sebule choo na jiko lake. Inajitegemea umeme na maji dawasa yanatoka ndani choon na jikoni.reserve tank lipo Apartment zipo nne ndan ya fence .tyrz, gypsum madirisha ya nyavu makubwa na feni chumbani na sebuleni .bei laki moja na elfu themanini 180k nyumba ipo ubungo external njia ya kwenda majichumvi ukishuka kwenye bajaji unaingia ndani .fence yake sio ya kulaza gari ila sehemu ya kupaki gari ipo usalama mkubwa sana .