Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA__NA_JIKO
đź’§Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
đź’§Bei Yake :: 1st Floor - 250,000 MALIPO MIEZI 3
2nd Floor - 230,000 MALIPO MIEZI 3
Ground Floor - 220,000 MALIPO MIEZI 3
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja (master)
📍Jiko
📍Feni
📍Umeme wako & Maji yapo
📍FULLY AIRCONDITIONED
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0745559598