Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA CENTER
💧Bei :: 500,000Tsh miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652472014
Call /Whatsapp