Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA__NA_JIKO
💧Location :: GOBA OYSTERBAY - TRIPLE B (KARIBU NA BARABARA)
💧Bei Yake :: 200,000 kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja (master)
📍Jiko linafungwa Makabati
📍Feni
📍Umeme wako & Maji yapo
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652251725