Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO
#CHUMBA KIMOJA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#LUKU SUBMITER
#MAJI MITA YAKO
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.