Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kati, Arusha
APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA la KISASA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU Na METER YA MAJI UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI 24HRS
#NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
#PARKING KUBWA SANA 🚘
LOCATION: KIMARA MWISHO
DISTANCE: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA KUMWAGA WA KUCHANGIA BAJAJI AU TAX (700) UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
KODI 200,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp