Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
###0555256419
###0760830706