Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road Au UBUNGO EXTERNAL, Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
PRICE: 400,000
Term: 6 Months
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet 🚻
✍️Heater Ya Maji &Full A/c
✍️Umeme LUKU Independent
✍️Maji FREE 24Hours
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Fenced &Parking Space Available 🚘
✍️Full Paving Blocks 🚫
✍️CCTV Cameras 📷
✍️Good Environment 💥
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp