Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ✨️
Location: KIMARA TEMBONI #200K
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko ndani (open kitchen)
✔️Inajitegemea Umeme Na Maji
✔️Maji Yanaflow Ndani 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fenced
✔️Parking IPO 🚗
Kodi 200,000 × 6
Umbali KM 1.7 Kutoka Kimara Temboni Kituoni
Usafiri 24Hours Bajaji 500
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp