Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment Nzuri Inapangishwa
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA LA OPEN KITCHEN
KODI 200,000 × 3
LOCATION: KIMARA MWISHO
DISTANCE: KM 2 KUTOKA MOROGORO
Usafiri 24Hours Bajaji 1000
UMEME LUKU YAKO
MAJI METER YAKO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
WAHI UCHAGUE YA CHINI AU YAJUU
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA BOSS
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp