Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
Zipo 3 Kwenye Fence
KODI 500,000 × 6
Location: KIMARA SUKA
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️DINING KUBWA
✔️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA la KISASA
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️LUKU NA METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️PARKING KUBWA SANA 🚗
#USAFIRI NI BAJAJI 700 AU BODABODA 1000 UNAWEZA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 10
NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp