Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 150,000 Γ 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#JIKO KUBWA
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENCE ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
#GARI INAFIKA HADI MLANGONI
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp