Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Njia Panda, Kilimanjaro







APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: NJIA PANDA MAKABE
💧Bei :: 450,000 Tsh Malipo miezi 3
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fence
📍Full AC
📍Maji, Ulinzi & Usafi Bure
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0692406639
Call /Whatsapp