Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment Classic For Rent ✨️
Imebaki 1 Tembea Na Hela 💰✍️
Location: UBUNGO EXTERNAL
Distance: Dakika 4 Kwa Kutembea Tu 🚶
Price: 220,000 × 6
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Ndani Ya Fence
✔️Parking Space Available 🚗
✔️Inajitegemea UMEME
✔️MAJI Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Good Environment 👍
#Juu Gorofa la Kwanza
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp