Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM INA MAKABATI NA SEBULE KUBWA SANA NA JIKO ZURI LA KISASA.
INAJITEGEMEA UMEME, LUKU YAKWAKO NA MAJI INAJITEGEMEA .IPO NDANI YA FENSI, PARKING SPACE IPO.
BEI NI LAKI 3 NA ELFU 50 TU NA MAONGEZI YAPO.
NYUMBA IPO UBUNGO KIBO DK 8 KWA MGUU KUTOKA STEND YA MWENDOKASI.
Service charge ni Tshs 15,000/=. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
Simu 0757 404 087