Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI ZINAPANGISHWA
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500 Ukishuka Dk 5
HAPA ZIPO APARTMENT MBILI TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA MAKINI
(A)SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
KODI 250,000 × 6
(B)SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA MASTER
HAKUNA JIKO❌
KODI 200,000 × 6
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCK SAFI 🚫
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NYUMBA HIZI ZIPO KWENYE MATENGENEZO ZITAKUWA TAYARI 01/05/2025
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp