Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inauzwa Iyumbu, Dodoma


DODOMA APARTMENT ZA KISASA ZINAUZWA
ZIPO APARTMENT NNE SEHEMU 1
BARABARA YA KWENDA IYUMBU/UDOM/BENJAMINI MKAPA HOSPITAL
KILA APARTMENT ZINAVYUMBA VIWILI VYA KULALA ((MASTER BEDROOM 1))
SEBURE
JIKO
UMEME NA MAJI KILA APARTMENT INAJITEGEMEA
MITA 50 TOKA KWENYE RAMI
ENEO SQM 903
DOCUMENT HATI
NDANI YA FENSI
APARTMENT ZOTE ZIMEJAA WAPANGAJI
BEI MIL 250
PIGA SIMU 0767241001
NB
WEKEZA KWENYE NYUMBA ZA WAPANGAJI BIASHARA AMBAYO HAIPASUI KICHWA HAINA USUMBUFU WOWOTE, SABABU YA KUUZA MATIBABU