Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
🔰 Apartment Kubwa Inapangishwa KIBAMBA KWA MANGI
📍 Bei 550,000/= *6
__
_________
• Vyumba 4 vikubwa sana (Chumba Kimoja master kubwa sana)
• Sebule kubwa
• Dinning
• Jiko kubwa
• Choo cha familia
* Kabati za Nguo kila chumba
* Eneo la Parking Kubwa Sanaaa
* Pia Kuna Geleji ya kulaza gari hata 2
* Aprtment zipo 2 ndani ya fensi na hapa hii moja ndiyo ipo wazi
* Inajitegemea UMEME na MAJI
#Umbali wa kutembea dakika 3 tu hadi kituoni
#Upande wa kushoto kama unaenda Mbezi
_____
#Malipo Ya Dalali Nasoni ni Tsh 550,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
№:- 0753172516