Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







1/6/2025
Nyumba inapangishwa apartment
Location bunju A usalama
Kodi 300,000 kwa mwezi
Miezi 3 au 6
Vyumba 3 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme Ipo ndani ya fence
Piga simu O745010009 au 0742707023