Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam



Apartments zinapangishwa, zipo Goba center
Vyumba vitatu viwili master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni million 1 laki 5
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana