Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kati, Arusha
APARTMENT MPYA KUBWA NZURI NA ZIPO MTAA MZURI SANA ZINAPANGISHWA BEI NI 620,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO
#ILIYOKAMILIKA NI YA JUU GOROFANI
#ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI MOJA
#MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UJENZI KWA KASI YA 5G
#PARKING KUBWA
BEI NI 620,000
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥UJENZI UNAENDELEA NA MAFUNDI WANAENDELEA KUPAMBA NYUMBA
Contact 0712474756