Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
A: vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi: 350,000 Kwa mwezi × 6
B: vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Kila apartment inajitegemea umeme na maji,ndani ya fence parking IPO
Umbali KM 1.8 Boda boda 1000 Bajaji 700
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338