Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa KIMARA MWISHO dk12 kwa Mguu
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA
Master bedroom
Sebule
Jiko
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Usalama wakutosha
Iko kwenye fenci ( Gali una ilaza kwa pembeni)
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.