Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Kimara Korogwe Kilungule Usafiri Bajaji na Daladala Boda Ukishuka Unapiga teke Gate
Kodi 650000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Open Kitchen
Public toilet ndani
Luku yake
Fully A/C
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Kodi 550000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 2 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Open Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Fully A/C
Parking space fancy
Pavin Block
Good environment