Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 180000/= X 3 4 INAPOKELEWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA AINA MASTER MAJI YAPO NJE UMEME INAJITEGEMEA
BEI 180000/= X 3 4 lAKI MOJA NA THEMANINI KODI MIEZI 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETERS 1 BODA ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SINA CHENI NAMALIZA BIASHALA HAPA NAANDIKA MKATABA HAPA
▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎■■■■■■■■■■♤♤▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
#06777370515