Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam
Apartment iyo inapangishwa sh laki 6
@
Ipo maeneo ya magomeni aingizi gar
@
Ni vyumba 3 sebule jiko choo
&
Chumba kimoja masta
&
Kodi ya miez 6 na dalali 7
&
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Mpaka unapata nyumba
&
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687