Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
KODI 600,000X6
LOCATION: MBEZI MSUGULI
DAKIKA 3 KWA MGUU TOKA LAMI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
CHOO CHA FAMILIA
NA BAFU LAKE
HEATER ZA MAJI JIKONI
NA VYOONI
ILIYO WAZI NI YA FLOW YA PILI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 20000
NA UKIPENDA NYUMBA
#KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747