Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH JOGOO
———————————————————-
KODI TSHS MIL 1,000,000/=KWA MWEZI
——
MALIPO YA MIEZI 6
——
APART YA KISASA
____________
YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimoja ni Master
#Sebule kubwa# Jiko Lenye Makabati Stoo
#Choo/Bafu vya public#Vyandani Ac
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje Pervingblock
FencedApart
Garden
_______________
Nione
dalalimbezibeach_salasala
#0692406639
Call/WhatsApp
——
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏