Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KIBABE INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
# INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
# SEBULE KUBWA
# DINNING ROOM
# JIKO SAFI
# PUBLIC TOILET NDANI
# UMEME NA MAJI UNAJITENGEMEA
# NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
======
BEI NI 400,000/=X6X6
ILIPWE LAKI NNE KODI YA MIEZI SITA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1
USAFILI UPO BAJAJI 700
BODA 1000
========
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 3 UMFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
=====
CONT
0683234124
0718367179