Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali: Mwenge Prime Area
Bei: 650,000 / 6 (Un-Furnished)
1,200,000 / 3 (Furnished)
Zipo 3 Kwenye Compound
☑️Master Sebule Jiko
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Maji Isafi Ulinzi Taka Ni Bure
☑️Wi-Fi, Ac, Washing Machine
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Pia Kuna Furnished Ya Vyumba 3 Kimoja Master Bei 2.3M
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz