Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#Repost dalali_goba_kadogosa
——
#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAM TZ
MAHALI-MBEZI MASANA NJIA GOBA
KODI TSHS LAKI 450,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala #kimoja Master #Sebule #Jiko #Choo #Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
FencedApart
Nione👇
dalali_goba_kadogosa
Call/WhatsApp
📲0787295070
Pia viwanja safi vya kununua vinapatikana...karibu sana