Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#Repost Dalalimbezibeach_semba
• • • • • •
#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM TZ
MAHALI- GOBA MAGETI (Nyumba lami
KODI TSHS LAKI 800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI <6> APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala, # Master Ac #Sebule # Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public #Gypsum #Tiles #Slides #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo #pervingblocks
FencedApart
Garden
NIONE DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
CONTACT NUMBER 0685 006223
WHATSAPP NUMBER 0718 759287
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA