Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Iyumbu, Dodoma


NAUZA HIZI APARTMENTS 04
📍Mahali - *IYUMBU* mita 50 tu kutoka lami
👉🏽 Kila nyumba ina vyumba viwili (vyote ni master) sebule, jiko zuri na public toilet. (ZOTE ZINA WAPANGAJI)
Kila nyumba inajitegemea umeme, maji yanatoka muda wote.
KIWANJA - *Sqm 903*
Documents - *HATI*✅
👉🏽Bei - *200M*
📌Kila nyumba kodi ni 300,000/= kwa mwezi