Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibaha, Pwani




APARTMENT INAPANGISHWA
MAHALI KIBAHA MAILIMOJA MKOAN
APARTMENT ZIPO MBILI KWENYE FENS MOJA
ZINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA
PUBLIC TOILET
JIKO LENYE MAKABATI YA KISASA
SIO MBALI KABISA NA MOROGORO ROAD
KODI 500000X6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE ELFU ISHIRINI NA UKILIPIA NYUMBA DALALI MWEZI MMOJA
☎️ #0757208653